emblem

The United Republic of Tanzania

The National Museum of Tanzania (NMT)

News

WAZIRI MKUU MHE.KASSIM MAJALIWA ATOA WITO KWA WATU BINAFSI KUMILIKI MALIKALE

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania wenye nia kutaka kumiliki maeneo ya Malikale kuwa fursa hiyo ipo ya wao kumiliki na kuanzisha Makumbus...

NAMNA ARDHI OEVU INAVYOWANUFAISHA WANAWAKE TANZANIA

Makumbusho ya Taifa kupitia kituo chake cha Kijiji cha Makumbusho kilichopo Dar es Salaam kimeandaa programu maalumu ya kutoa elimu kuhusu umuhimu wa ardhi oevu kwa wanafunzi na wananchi kwa ujumla.

Miradi Shirikishi kwa Uhifadhi Endelevu

Mkurugenzi wa Makumbusho ya Taifa Dkt Noel Lwoga amewataka wadau mbalimbali katika maendeleo ya nchi kuanzisha miradi inayohusisha jamii kwa lengo la kulinda na kuhifadhi urithi wa asili na utamaduni...

UBALOZI WA FINLAND WAVUTIWA NA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO NCHINI.

Ubalozi wa Finland nchini Tanzania leo wamekitumia Kijiji cha Makumbusho katika kusherehekea siku yao ya Burudani ambayo huadhimishwa kila mwaka tarehe 25 Novemba

DKT AGNESS GIDNA AIWEKA TANZANIA KWENYE RAMANI YA DUNIA KATIKA FANI YA PALENTOLOJIA NA AKIOLOJIA

Mtandao wa kimataifa wa wanawake wanasayansi Duniani. (TROWELBLAZERS), wamemtambua Mhifadhi mwandamizi wa Paleontolojia, Makumbusho ya Taifa nchini Dkt Agness Gidna kuwa ndiye mwanamke wa kwanza msomi...

Bongozozo aikabidhi Makumbusho ya Taifa Sarafu ya Rupia iliyotengenezwa kwa Madini ya Tanzania

Balozi wa Utalii wa Tanzania, Bw Nick Reynolds maarufu kama Bongozozo ametoa wito kwa Watanzania kuwa na tabia ya kutoa vitu vyao vya thamani kwa Makumbusho ya Taifa kwa lengo ya kuhifadhi kwa ajili y...

ONESHO LA “MUSEUM ART EXPLOSION THAMANI YETU” LAFANA

Makumbusho ya Taifa kwa kushirikiana na kikundi cha Ngoma Afrika imefanya onesho maalum lililobeba ujumbe wa “THAMANI YETU” kwa lengo la kuwakumbusha Watanzania umuhimu wa thamani yetu kama Watanzani...

Uwanja wa Taifa kuwa kivutio cha Utalii

Makumbusho ya Taifa la Tanzania kwa kushirikiana na uongozi wa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wameanza mikakati ya kufanya Uwanja wa Taifa kuwa kivutio cha utalii kupitia maonesho ya kihistoria...