Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Makumbusho ya Taifa la Tanzania

Makumbusho ya Elimu Viumbe

Imewekwa: 08 Jan, 2024
Makumbusho ya Elimu Viumbe

Makumbusho ya Elimu Viumbe (Natural History Museum) ni kituo muhimu kilichopo jijini Arusha, kilichoanzishwa mwaka 1987 ndani ya jengo la kihistoria la Old German Boma la miaka ya 1900. Makumbusho haya yanahifadhi historia ya viumbe hai, utamaduni, na urithi wa asili, ikijumuisha maonyesho ya elimu ya viumbe na maisha ya kale, huku yakiwa yamezungukwa na bustani za miti. 

Kazi Kuu: Kukusanya, kuhifadhi, na kuelimisha umma kuhusu urithi wa asili wa Tanzania kupitia maonyesho.