Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Makumbusho ya Taifa la Tanzania

MAADHIMISHO YA SIKU YA NYERERE

14 Oct, 2026
07:00:00 - 16:00:00
MHoC, Mwl. Nyerere Memorial Museum, Arusha Declaration Museum
lusajo.laston@nmt.go.tz

Siku ya Nyerere huadhimishwa nchini Tanzania kila mwaka tarehe 14 Oktoba kwa ajili ya kumkumbuka na kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyefariki dunia tarehe 14 Oktoba 1999.

MAADHIMISHO YA SIKU YA NYERERE