Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Makumbusho ya Taifa la Tanzania

Benki ya kwanza ya Wajerumani ilijengwa Mtwara - Mikindani?

Imewekwa: 07 Dec, 2023
Benki ya kwanza ya Wajerumani ilijengwa Mtwara - Mikindani?

Benki ya kwanza ya Wajerumani ilijengwa Mtwara - Mikindani?

Benki ya kwanza: Jengo hili lilijengwa mwaka 1895 na Wajerumani, kwa lengo la kuhifadhi vitu vya thamani (vito), kama vile dhahabu, shaba, almasi, fedha na baadae walihifadhia silaha. Kwasasa jengo hili limekarabatiwa na kutumika kwa shughuli mbalimbali.