Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Makumbusho ya Taifa la Tanzania

Kikao kilichotoa Azimio la Arusha kilikuwa na wajumbe 69?

Imewekwa: 08 Jan, 2024
Kikao kilichotoa Azimio la Arusha kilikuwa na wajumbe 69?
Viti vilivyokaliwa na viongozi wakuu wa Chama cha TANU kwenye kikao kilichotoa Azimio la Arusha ambapo chekundu alikaa Mwl. J. K. Nyerere (Mwenyekiti) na viwili vyeusi walikalia na Rashid M. Kawawa (Makamu Mwenyekiti) na Oscar Kambona (Katibu).

Viti vilivyokaliwa na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa TANU ulioamua kuhusu mstabali wa nchi (Azimio la Arusha) tarehe 26 -29 Januar1 1967.

Tembelea Makumbusho ya Azimio ya Arusha kujua Majina ya Wajumbe walioshiriki kikao hicho, Kupata sababu za wajumbe watatu (3) kwa nini hawakushiriki kikao hicho.