MAONESHO MAALUM

MAONESHO MAALUM

Makumbusho ya Taifa kupitia kituo chake cha Makumbusho na Nyumba uanda maonesho maalumu ya sanaa za ufundi na zajukwaani kwa watu maalumu kwa kadri inavyo hitajika.

Pichani ni Mama Michelle Obama, Mama Salma Kikwete na watoto wa aliekuwa Rais wa Marekani ambao ni Malia Obama na Sasha Obama wakiwa wanaangalie onesho lililofanywa na kikundi cha BABAWATOTO katika ukumbi wa Maonesho wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es salaam. July 1,2013(bicha na Chuck Kennedy wa IKUKU ya Marekani).