TAMASHA LA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU

TAMASHA LA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU

Makumbusho ya Taifa kwa kupitia kijiji cha makumbusho kila mwaka uandaa Tamasha la Watoto wenye mahitaji maalumu ili kutoa nafasi kwa watoto hao kuonesha vipaji vyao na kuondoa dhana iliyojengeka kwa wengi kuwa watoto wenye ulemavu awawezi kutoa mchango wowote wa maendeleo katika jamii