Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Makumbusho ya Taifa la Tanzania

KOBE MKUBWA ANAYEKADIRIWA KUWA NA MIAKA ZAIDI YA 150

Imewekwa: 20 Dec, 2023
KOBE MKUBWA ANAYEKADIRIWA KUWA NA MIAKA ZAIDI YA 150

Kobe mkubwa wa Aladabra, Babu Baruti aliletwa Arusha pamoja na kobe wengine wawili kutoka Australia mwanzoni mwa miaka ya 1920.

Karibu kituo cha Makumbusho ya Elimu Viumbe Arusha kumuona, kupiga nae picha  na kupata taarifa nyingine kuhusu kobe huyu.

mawasiliano:

National Natural History Museum

 P.O Box 2160 Arusha,

Tanzania

 Mobile: +255 754 532193

Email: naturalhistory@nmt.go.tz