Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Makumbusho ya Taifa la Tanzania

Mwenge halisi wa Uhuru

Imewekwa: 11 Jan, 2024
Mwenge halisi wa Uhuru

Mwenge halisi wa uhuru maarufu kama mwenge wa muungano uliokimbizwa kuanzia mwaka 1964 hadi 1979. Mwenge huu ulikabidhiwa Makumbusho ya Azimio la Arusha tarehe 9/12/1979.