Huduma za Elimu

ELIMU

Makumbusho ya Taifa inatoa Elimu rasmi na isiyo rasmi na kujifunza maisha yote kwa njia ya maendeleo ya maarifa, elimu na ufundishaji kwa kushirikiana na taasisi nyingine za elimu hasa mashuleni. Mipango ya elimu katika Makumbusho kimsingi ni kuchangia elimu kwa watazamaji mbalimbali kuhusu masuala ya ukusanyaji wa taarifa kuhusu maisha ya kiraia, na pia kusaidia kuongeza uelewa mkubwa wa umuhimu wa kuhifadhi urithi, na kukuza ubunifu.

Huduma za elimu katika Makumbusho ya Taifa ya Tanzania inahusisha maeneo yafuatayo: