emblem

The United Republic of Tanzania

The National Museum of Tanzania (NMT)

BG IMAGE

Welcome to National Museum

Dar es Salaam

Dar es Salaam

MSIKITI WA JAMIA

MSIKITI WA JAMIA
Jul 29, 2020

Jengo la Kuabudia la Karne ya 19. GN 498 ya 1995

MSIKITI KWENYE MAKUTANO YA BARABARAYA ZANAKI NA MTAA WA SOKONI

MSIKITI KWENYE MAKUTANO YA BARABARAYA ZANAKI NA MTAA WA SOKO...
Jul 29, 2020

Jengo la Kuabudia. GN 498 ya 1995

MAKTABA YA BRITISH COUNCIL

MAKTABA YA BRITISH COUNCIL
Jul 29, 2020

Jengo la Kihistoria lililojengwa mwaka 1930. GN 198 ya 1995

JENGO LINALOTUMIWA NA TANGANYIKA MEAT

JENGO LINALOTUMIWA NA TANGANYIKA MEAT
Jul 29, 2020

Jengo la Kihistoria, GN 498 ya 1995

JENGO MKABALA NA HOTELI YA Y.M.C.A

JENGO MKABALA NA HOTELI YA Y.M.C.A
Jul 29, 2020

Jengo la kihistoria lililojengwa mwaka 1929. GN 498 ya 1995

MAJENGO YOTE YALIYOPO PANDE ZOTE ZA KITUO CHA BASI CHA KISUTU

MAJENGO YOTE YALIYOPO PANDE ZOTE ZA KITUO CHA BASI CHA KISUT...
Jul 29, 2020

Majengo ya tangu ya karne ya 19. GN 498 ya 1995

JENGO LA TAKWIMU MAKAO MAKUU

JENGO LA TAKWIMU MAKAO MAKUU
Jul 29, 2020

Jengo la Kihistoria. GN 498 ya 1995

MSIKITI WA DEGE

MSIKITI WA DEGE
Jul 29, 2020

Jengo lililojengwa karne ya 14. GN 5 ya 1980

MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI

MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI
Jul 29, 2020

Jengo la kihistoria karne ya 19, GN 498 ya 1995

JENGO LA MAENDELEO

JENGO LA MAENDELEO
Jul 29, 2020

Jengo la kihistoria. GN 498 ya 1995

MSIKITI NA MAKABURI YA MBUAMAJI

MSIKITI NA MAKABURI YA MBUAMAJI
Jul 29, 2020

Magofu ya Msikiti na Makaburi ya Karne ya 18-19. GN 5 ya 1980

MSIKITI NA MAKABURI YA MBWENI

MSIKITI NA MAKABURI YA MBWENI
Jul 29, 2020

Magofu ya Msikiti na Makaburi ya Karne ya 14-18. GN 5 ya 1980

VIWANJA VYA MNAZI MMOJA

VIWANJA VYA MNAZI MMOJA
Jul 29, 2020

Bustani ya Mapumziko. GN 498 ya 1995