TAMASHA LA MAKABILA

TAMASHA LA MAKABILA

Makumbusho ya Taifa Kupitia Kijiji cha Makumbusho Dar es Salaam, uanda matamasha ya makabila mbali mbali ili kutoa nafasi kwa makabila ya hapa nchini kurithisha tamaduni zao kwa kizazi kilichopo na kijacho kupitia Ngoma, Muziki, Vyakula na Masimulizo mbali mbali.

pichani ni Aliekuwa Makamu wa Rais awamu ya nne Dkt. Mohamed Gharib Bilal na Waziri Mkuu mstahafu wa awamu ya nne Mh Mizengo K. P. Pinda wakiwa katika Tamasha la watu wa Rukwa na Katavi lililofanyika Kijiji cha Makumbusho Dar es Salaam.