Tafiti

Tafiti ni mjumuisho wa utafiti wa mikusanyo ambayo inaweza kufanywa na Wataalamu wa Makumbusho au kwa kushirikiana na wataalamu wengine, ina umuhimu mkubwa kwa Makumbusho kwa sababu hutoa fursa ya kutafakari juu ya historia katika mazingira ya sasa, kama vile kwa ajili ya tafsiri, uwakilishi na uwasilishaji wa mikusanyo. hii hupatikana kwa njia ya maarifa yanayopatikana kutokana na utafiti kwamba uwezo kamili wa Makumbusho uonekane na kutolewa kwa umma.

Tunafanya utafiti ndani na nje, na tunafanya kwa kushirikiana na taasisi nyingine na wasomi / watafiti.

Na tunafanya tafiti katika maeneo yafuatayo: