Ushauri wa Tafiti

Tunatoa ushauri wa Kitafiti , habari na taarifa kwa wanafunzi na watafiti, kwenye nyanja tofauti kuhusiana na mikusanyo ya Makumbusho. Makumbusho ina mikusanyo mingi mbalimbali katika upeo na vipindi tofauti tofauti. Pia tunatoa ushauri kwa tafiti za ndani ya Makumbusho na nje ya Makumbusho, pia tunashirikiana na Taasisi nyingine na wasomi / watafiti.

Pia tunatoa ushauri katika nyanja zifuatazo: