Mikusanyo

MIKUSANYO YA MAKUMBUSHO

Makumbusho ya Taifa ina mikusanyiko iliyotokana na tafiti kubwa zilizofanywa nchini kwa kipindi cha muda mrefu. Mikusanyo ya Dk. Leakey kutoka Olduvai na Laetoli ambayo kwa muda mrefu sana ilikuwa imehifadhiwa katika Makumbusho ya Taifa ya Kenya mjini Nairobi, kwa sasa imerudishwa Tanzania katika Makumbusho ya Taifa la Tanzania.

Vinginevyo Makumbusho ya Taifa ina Mikusanyo ifuatayo: