MAKUMBUSHO YA TAIFA YATUNUKIWA NGAO NA CHUO CHA KIJESHI CHA UONGOZI

Imewekwa: 01st November, 2019

Makumbusho ya Taifa yatunukiwa ngao na Chuo cha Kijeshi cha Uongozi kwa kazi nzuri ya kuelimisha wananchi. Ngao hiyo ilikabidhiwa kwa Mkurugenzi wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni, Bw Achiles Bufure kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu. Baadaye ngao hiyo ikakabidhiwa kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Dkt. Gwakisa Kamatula

Pichani ni Mkuu wa Idara ya Programme, Bw, Chance Ezekiel (Katikati) akimkabidhi zawadi hiyo Kaimu Kurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Dkt. Gwakisa Kamatula. Kushoto ni Afisa Elimu katika Idara ya Programme Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam Bi Magreth Kigadya