MAADHIMISHO YA SIKU YA MAKUMBUSHO DUNIANI YA FANA

Imewekwa: 18th May, 2019

Siku ya makumbusho duniani ni siku ambayo ilianzishwa ma baraza la makumbusho duniani mwaka 1977 kwa lengo la kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa taasisi makumbusho ktk kuhifadhi urithi wa utamaduni na urithi wa asili, kuleta ushirikiano na amani miongoni kwa jamii. Kila mwaka huwa kunakuwa na kauli mbiu tofauti tofauti kwa mwaka 2019 kauli mbiu ni makumbusho kama kitovu cha utamaduni na hatma ya mila na desturi.