MUSEUM ART EXPLOSION NA MAPAMBANO DHIDI YA MIMBA ZA UTOTONI

Imewekwa: 12th July, 2017

Kwa sasa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam, inaratibu program ya matumizi ya Sanaa katika Mapambano dhidi ya Mimba za Utotoni katika Mikoa ya Dar es Salaam, Tabora na Shinyanga.